Kutana na Ubongo Kids: Kiduchu, Koba, Baraka na Amani. Ni wadadisi kama wewe, na wako tayari kukabiliana na changamoto yoyote inayowajia. Ungana nao wakiwa wanajaribu kutumia ujuzi wao wa hisabati, sayansi na teknolojia kuanzia kuelewa sehemu kwa kutumia matunda mpaka kutengeneza umeme.
Tafuta Chaneli ya TV Pata kipindi cha Redio