Siku Ya Mazingira Duniani

Je! Unafahamu ya kwamba inachukuwa takribani miaka 1000 kwa plastiki kuoza? Huo ni muda mrefu sana! Na hadi kufikia huko, wanyama wako hatarini kwasababu ya plastiki hizo. Hii ni njia mojawapo ya jinsi uchafuzi wa mazingiria unavyotuathiri! Tuna uchafuzi wa ardh, maji na hewa, vyote vinaathari kubwa kwenye maisha ya wanyama, mimea na binadamu.
Mwaka huu tunavyosherehekea Siku Ya Mazingira Duniani, tukumbuke ya kwamba hatuwezi rudi nyuma na kubadili yaliyotokea, ila tunaweza anza sasa kuhakikisha mazingira yetu yanakuwa safi kwa kuchukuwa hatua leo! #ActionsThatCount.

Umewahi Kuona Tembo wa Kijani?
(Maji, ardhi na hewa)

Twende Kuogelea (usafi wa mazingira)

 

Tupataje Maisha Bora?!

 

Punguza, Tumia Tena, Rejeleza
Inakuja hivi karibuni

Nakuheshimu, ila Hapana! (Mabadiliko ya tabianchi )
Inakuja hivi karibuni

 

 

 

Imefadhiliwa na: