Ungana na Ubongo Kids kwa visa vya kufurahisha na kujifunza kupitia app za kielimu!

Jifunze na Ubongo Kids

Kibena and the Math Rats

Tumia Ubongo wako kumsaidia Kibena kuwaondoa panya kupitia hiki kitabu cha mtandaoni! Soma kitabu mwenyewe au soma pamoja na Toto Tembo. Tatua changamoto na maswali ya Hisabati.

Anza sasa

Harakati za Panya